Rajabu Abdul ( Hermonize ) Alifika jijini Dae es Salaam mwaka 2009 alipohitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondali Mkundi iliyopo Mtwara, baada ya kuwasili Dar akuwa na shughuli ya kufanya na kujikita katika Uuzaji wa chai Kariakoo na baadaye alifanya biashara Umachinga wa nguo na vitu mbalimbali.
Harmonize alianza harakati za musiki mwaka 2011 alishawai recodi studio lakini nyimbo zake azikuwa na ubora wa kupeleka katika vituo vya redio na kusambaza kwa watu,, kwa miaka mine aliyo ingia katika masuala ya muziki ili muwezesha kujifunza kiasi pamoja na kubanwa na biashara zake alishindwa kujisimamia vizuri katika mambo ya muziki,
Harmonize akukata tama alianza kutafuta Meneja kwa kumsimamia kazi zake miaka miwili kabla ya kukutana na Uwongozi wa WCB na kumpokea miezi sita iliyo pita
“ Nimesha rekodi nyimbo nyingi ndani ya lebo ya Wasafi nimeona nianze kwanza na Aiyola huu uwe mwanzo wangu, pia nimejifunza vitu vingi kutoka kwa lebo ya Wasafi asa kutoka kwa msanii Diamond Platnumz “
Lakini kwa upande wa historia hii inafanana nay a meneja wake Diamond ambae nae amepitia maisha machache kama ya Harmonize, ambapo nae Alisha itoa na wengi wanaifahamu, so kwakuona umuimu wa kusaidia vijana wengi ndio mana akafungua studio nyumbani kwake na kuweza kutoa vipaji so nizamu ya watanzania wenyevipaji kutumia fursa hii kutambulika tuweze pata wapili baada ya Harmonize
Nimekuweke Maneno ya wimbo huo ili uweze kuuwelewa tizama hapo juu.
\source bobsameugen.blogspot.com



No comments:
Post a Comment